• Maongezi

    Hapa mtoa huduma atakupa taarifa kuhusu mradi. Unapatikana wapi Uwepo wa huduma za kijamii Shughuli za kiuchumi zinazofanyika karib na mradi husika.

  • Site Visit

    Kwa ajili ya kutathimini maelezo aliyopewa mteja wetu sambamba na mahitaji yake Hapa atajionea na kufanya uamuzi wa manunuzi yake baada ya kujiridhisha. Siku za kwenda kwenye mradi zitatangazwa kwa wateja kila week kulingana na mradi husika. Pia Mteja anauwezo wa kuomba pelekwa site ndani ya kipindi cha malipo.

  • Uchaguzi

    Hapa atachagua kipande anachokihitaji kulingana na bajeti yake. Kwa kutumia ramani mteja ataangalia ni ukubwa wa kiasi gani unaompendeza na anaoweza kuulipia kulingana na muda wa maelewa mkataba .

  • Mfumo wa Malipo

    Mteja atachagua muda wa malipo na kusign mkataba wenye kanuni zinazoongoza uhusiano kati ya mteja na kampuni. Kama ni mteja wa cash atapewa stakabadhi husika.

  • Makabidhiano

    Mteja anayelipa kwa installments pindi afikapo nusu anaweza kufanya matumizi ya eneo analolipia isipokuwa ujenzi wa pango la kudumu.

    Mara baada ya kukamilika kwa malipo mteja anaweza kutumia eneo lake namna anavyohitaji yeye. Hati husika iwe ya kijiji ama ya wizara itafwatiliwa na kutolewa na kampuni kulingana na maelewano yaliyopo katika mkataba.

  • Ushauri

    Mteja atapatiwa ushauri pale anahitaji BURE kabisa. Hii ni juu ya namna ya kuendeleza shamba lake ama kiwanja chake. Ataunganishwa na wataalamu wetu wa ardhi kitengo cha uchumi, ufugaji na kilimo. Wataoweza kumpa makadirio na elimu juu ya uwekezaji kulingana na bajeti yake.