Kampuni pekee ndiyo iliyo na kiwango na sifa ya kuongoza sekta ya mali isiyohamishika katika siku zijazo. Wakati wengine wanazingatia tu kufanya mauziano, sisi tunakujali katika kila hatua yako ya manunuzi. Watoa huduma wetu wapo tayari kukuwezesha kufanya maamuzi ya sahihi kwa kutumia fursa ya mitindo iliyopo.
COBRYSON INVESTMENT COMPANY LIMITED ni kampuni iliyosajiliwa chini ya sheria za Kitanzania nakutambulika na BRELA pamoja na TRA kuanzia mwaka 2021.
Shughuli kuu zinazotekelezwa na kampuni ni uuzaji wa mashamba na viwanja vilivyopimwa.
Kufanya manunuzi kutoka kampuni yetu ni miongoni mwa uamuzi mzuri utakaoufanya kwa maana;
Ndio, Kampuni ya Cobryson's Investiment inajulikana na Serikali. Kampuni ya Cobryson's Investiment imesajiliwa chini ya Brela nakufwata sheria na kanuni za Jamhuri ya Muungano ya Tanzania mwaka 2021. Niwalipaji wa kodi za TRA na wanatambulika na Halmashauri ya Kinondoni
Miradi tunayouza iko chini ya usimamizi wa Kampuni. Sisi tunaenda kununua alafu tunauza,Kampuni inashughulikia zoezi la ununuzi baada ya kujiridhisha na utafiti. Upimaji na uchoraji wa ramani mpaka mwisho kisha linafanya mauzo Eneo husika la mradi halitaruhusiwa kuuzwa na mtu mwengine.
Ndio, Kampuni ya Cobryson's Investiment inajulikana na Serikali. Kampuni ya Cobryson's Investiment imesajiliwa chini ya Brela nakufwata sheria na kanuni za Jamhuri ya Muungano ya Tanzania mwaka 2021. Niwalipaji wa kodi za TRA na wanatambulika na Halmashauri ya Kinondoni
Mteja anaweza akaliendeleza shamba mara baada ya kufikia asilimia 50 ya malipo yake tajwa. Mnunuzi atapewa mamlaka ya kufanya shughuli zozote zile isipokuwa ujenzi wa makazi ya kudumu.
Ndio, unaweza sitisha mkataba kulingana na maelewano yaliyopo katika mkataba ulioingia na kampuni pindi unaanza malipo.
Malipo yanaweza fanyika kwa njia ya simu na pia kutoka bank kwenda kwenye Account zetu na pia anaweza lipa ofisini
Ofisi zetu zipo Kijitonyama, Sayansi Dar es salaam. Zipo karibu na ofisi za Posta za Kijitonyama na Chuo kikuu cha dar es salaam
Migogoro inayoweza ibuka katika mauzaji ni ya aina 3. Migogoro Kati ya ; Wanakijiji Vs wateja wetu, Baina ya Wateja wetu wenyewe lakini pia kati ya wateja wetu Vs serikali
Mpango mkakati wa kutatua shida hii ni kwa kufanya ukaguzi wa eneo na historia yake. Hii ni kujua nani mmiliki wa eneo husika na kujua kama kuna migogoro ndani yake. Baada ya kujiridhisha tunanunua eneo na kubadilisha umiliki na kuwa mali ya kampuni.
Kisha ili kutatua Migogoro kati ya wateja tunafanya upimaji na kugawanyisha maeneo kwa ajili ya wateja wetu
Copyrights © 2025 All Rights Reserved.